Na Mwandishi Wetu, Morogoro KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk Laurean Ndumbaro amesema kuanzishwa kwa mfumo wa kuhifadhi taarifa za wajumbe wa bodi za taasisi na mashirika ya umma, kutasaidia kuondoa changamoto…