Majukumu na Muundo wa Ofisi ya Msajili wa Hazina inajumuisha Kurugenzi tano (5) na Vitengo tano (5) kama ilivyoainishwa hapa chini pamoja na kielelezo Na. 1:-
- Kurugenzi ya Uwekezaji wa Umma,
- Kurugenzi ya Mipango, Ufuatiliaji, Utafiti na Maendeleo,
- Kurugenzi ya Huduma za Kimenejimenti,
- Kurugenzi ya Utawala na Rasilimali Watu,
- Kurugenzi ya Huduma za Shirika,
- Kitendo cha Fedha na Uhasibu,
- Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma,
- Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi,
- Kitengo cha Ukaguzi wa Mashirika, na
- Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani.