
Mchechu aguswa gawio la shilingi bilioni kutoka NBC
Na Mwandishi Maalumu SERIKALI kupitia Ofisi ya Msajili ya Hazina, imeipongeza Benki ya NBC kwa mafanikio makubwa ya kibiashara katika mwaka 2022 ambayo yameifanya itoe gawio la Sh bilioni 6 kwa Serikali. Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu aliyasema hayo leo...
Read more