• Jumatatu – Ijumaa Saa 1:30Asb – 9:30Alasiri

 • WALIOTEMBELEA

 • Uhasibu na Fedha

  FEDHA NA UHASIBU

  MAJUKUMU

  1. Kuandaa ripoti za Mapato na Matumizi za mwezi, robo mwaka na za mwaka mzima
  2. Kufanya malipo mbalimbali ya kimkataba na ya kawaida.
  3. Kumshauri Afisa Masuhuli kuhusu masuala ya Kifedha.
  4. Kupokea maduhuli na kukatia risiti.
  5. Kupokea hati ya mgao wa fedha (Exchequer) na kukatia risiti.
  6. Kufanya Usuluhisho wa benki (bank reconciliation).
  7. Kuandaa Mishahara ya watumishi wa ofisi na kuwasilisha makato mbalimbali ya Taasisi husika (Statutory and Non Statutory Deductions).