• Jumatatu – Ijumaa Saa 1:30Asb – 9:30Alasiri

  • WALIOTEMBELEA

  • Posts by Said Juma

    Serikali yazindua mfumo wa bajeti kielektroniki

    Na Mwandishi Maalumu, Dodoma SERIKALI imewaagiza Maafisa Masuuli wote wa taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Msajili wa Hazina kuhakikisha kuwa, mpango wa bajeti kwa mwaka 2021/22 unaandaliwa na kuwasilishwa kupitia mfumo mpya wa uandaaji wa bajeti (PlanRep). Akizungumza katika…

    Read more

    Msajili Hazina aitaka Posta kujiimarisha kiteknolojia

    Na Mwandishi Maalumu, Dodoma UONGOZI wa Shirika la Posta Tanzania umetakiwa kutilia mkazo matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili liweze kuendana na matakwa ya dunia ya sasa, hasa katika utoaji wa huduma. Aidha, shirika limetakiwa kuchangamkia fursa…

    Read more

    Airtel Yaipa Serikali Gawio la Kihistoria

    Na Mwandishi Maalumu, Dodoma Ni gawio la kihistoria! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Kampuni ya Simu za Mkononi ya Airtel – Tanzania kuilipa Serikali ya Tanzania kiasi cha shilingi bilioni 32.9 kama gawio na michango maalumu ya maendeleo kutokana na faida…

    Read more

    NMB Yaipa Serikali Gawio la Bil. 15.2

    *Dkt. Philip Mpango asisitiza zinakwenda kuchochea miradi ya maendeleo   Na Mwandishi Maalumu SERIKALI imepokea gawio la kiasi cha shilingi bilioni 15.2 kutoka Benki ya NMB, ikiwa ni sehemu ya faida ya shilingi bilioni 48 iliyopatikana kwa mwaka 2019, hivyo…

    Read more

    Serikali yaunganisha benki za TPB, TIB kuleta ufanisi

    *Yaja na mageuzi makubwa kuifanya benki imara, ya mfano *Yawahakikishia wateja usalama wa amana zao, huduma bora   Na Mwandishi Maalumu, OMH- Dodoma SERIKALI imetangaza rasmi kuziunganisha Benki ya TPB na TIB Corporate kuanzia Juni Mosi, 2020 kwa lengo la…

    Read more