• Jumatatu – Ijumaa Saa 1:30Asb – 9:30Alasiri
 • Archives for Matukio

  Makabidhiano ya Ofisi

  Msajili wa Hazina, Mgonya Benedicto akabidhiwa rasmi Ofisi na aliyekuwa Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka. Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi ya Msajili wa Hazina, Dar es Salaam.  Benedicto ameteuliwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Msajili wa Hazina kuchukua…

  Read more

  Msajili wa Hazina aongeza kasi maagizo ya Samia

  Na Mwandishi Maalumu, Arusha SERIKALI kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina inafanyia kazi dhamira ya kufanya mapitio na uchambuzi wa kina wa mashirika ya umma ili kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan ya kuyafanya yajiendeshe kwa faida. Kutokana na…

  Read more