Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka akibadilishana nyaraka na Makamu wa Rais wa Kampuni ya LZ NICKEL LIMITED, Chris Von Christierson baada ya kutiliana saini makubaliano ya ushirikiano katika uchimbaji wa madini ya Nickel huko Kabanga katika Wilaya ya Ngara mkoani Kagera kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Bukoba mjini Bukoba jana Jumanne Januari 19, 2021.