OFISI YA MSAJILI WA HAZINA

Ubinafsishaji

Kusimamia ubinafsishaji wa mali za umma, usimamizi na ufuatiliaji wa mashirika ya umma, ukusanyaji wa madeni ya Serikali yaliyorithiwa kutoka CHC, na urekebishaji na ufilisi wa mali zisizozalisha faida katika kampuni au mashirika yaliyobinafsishwa