OFISI YA MSAJILI WA HAZINA

DIRA

Kuwa Taasisi Bora ya usimamizi Afrika Mashariki katika  uwekezaji na maslahi ya Serikali kwenye Mashirika ya Umma na yaliyobinafsishwa.

DHIMA

Kuhakikisha uwepo wa mchango endelevu wa Mashirika ya Umma na yaliyobinafsishwa katika maendeleo ya taifa kwa kuzingatia uendeshaji bora na wenye tija kibiashara.