Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA MSAJILI WA HAZINA

Usimamizi

Kusimamia shughuli za Uwekezaji wa Umma. Hii ni pamoja na ufuatiliaji na tathmini ya utendaji; kuweka malengo ya kifedha na kuidhinisha mipango na kanuni