Uangalizi
Kusimamia Uwekezaji na mali nyingine zote zilizo chini ya Msajili wa Hazina, kwa dhamana ya Rais na kwa madhumuni ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.