OFISI YA MSAJILI WA HAZINA

Ushauri

Kutoa ushauri kwa Serikali kuhusiana na uanzishwaji wa Mashirika ya Umma na Mashirika ya Kisheria kwa nia ya kupendekeza hatua zinazolenga kuboresha utendaji kazi.