Agosti 20, 2023 kupitia wasilisho lake katika kikao kazi hicho, Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu alisema, ofisi hiyo inafanya mageuzi katika muundo na utaratibu wa kusimamia mashirika na taasisi za umma. Mchechu alisema, pamoja na mambo mengine imependekeza kuanza utaratibu…
