• Jumatatu – Ijumaa Saa 1:30Asb – 9:30Alasiri

  • WALIOTEMBELEA

  • Archives for Matukio

    Ofisi ya Msajili wa Hazina yaanika mafanikio makubwa

    Na Mwandishi Maalumu, Dodoma   OFISI ya Msajili wa Hazina (OMH) imesema kumekuwa na mafanikio makubwa katika usimamizi na uendelezaji wa uwekezaji uliofanywa na Serikali katika mashirika ya umma 287, ambao thamani yake ya uwekezaji imepaa na kufikia Shilingi trilioni...
    Read more

    Serikali yakabidhi msitu kwa wakulima wa chai Njombe

    Na Mwandishi Maalumu SERIKALI kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina imekabidhi rasmi msitu wa Iyembela uliopo mkoani Njombe kwa Wakala wa Wakulima Wadogo wa Chai (TSHTIDA) baada ya kumaliza mgogoro uliokuwa umeikumba msitu huo kwa muda mrefu na kuvuruga maslahi...
    Read more