Ofisi ya Msajili wa Hazina jana Oktoba 3, 2023 imekabidhi rasmi mashamba ya Wanyamapori ya Lente, Loldebes na Amani yaliyopo wilaya ya Monduli Mkoani Arusha kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa ajili ya shughuli za uhifadhi na…
